Nimepata mashaka zaidi kwa Taifa Stars.

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari za muda huu.

Tukiwa tunasubiri kama masaa machache team yetu ya Taifa kuingia viwanjani na kuonesha kandanda safi huko Cape Verde
nimejikuta kuwa na mashaka zaidi maana hapo mwanzo nilikuwa na mashaka kidogo.

Japo hivi karibuni team yetu imeweza kujitutumua na kuwapa watu matumaini kidogo ila baada ya kupita pita kwenye odds za leo kwenye betting nimeona kabisa hakuna matumaini kwa team hii.


Ni hayo tu wacha tusubiri mpira huo maana Team yetu ya Taifa ni kama Kuku aliyekatwa kichwa.


Nawasilisha.
 
Tim yetu ya taifa tusha izowea ikitokea ikashinda tutafurah lakin ikipigwa pia nikawaida yake kufungwa ko kama mzarendo inabid uwe naroho ngumu sana koz matokeo ya aina yoyote kwa timu yetu nikawaida tu
 
Odds ni jambo la kawaida, kuna timu zinakua na odds kuanzia 11+ kushinda na zinashinda 4-0,3-0,2-1 etc...ni suala la utabiri lakini uwanjani ni kitu kingine kabisa
 
ungekuwa unajua odd hupangwaje usinge shangaa stars kupewa 5+

moja yuko away. pia kafel kupata ushindi match nyingi za karibuni
 
Mpira ni maandalizi na uwezo wa wachezaji wako! Haya mambo ya sijui odds tupa kule!
 
Tim yetu ya taifa tusha izowea ikitokea ikashinda tutafurah lakin ikipigwa pia nikawaida yake kufungwa ko kama mzarendo inabid uwe naroho ngumu sana koz matokeo ya aina yoyote kwa timu yetu nikawaida tu
ni kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…