Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari za muda huu.
Tukiwa tunasubiri kama masaa machache team yetu ya Taifa kuingia viwanjani na kuonesha kandanda safi huko Cape Verde
nimejikuta kuwa na mashaka zaidi maana hapo mwanzo nilikuwa na mashaka kidogo.
Japo hivi karibuni team yetu imeweza kujitutumua na kuwapa watu matumaini kidogo ila baada ya kupita pita kwenye odds za leo kwenye betting nimeona kabisa hakuna matumaini kwa team hii.
Ni hayo tu wacha tusubiri mpira huo maana Team yetu ya Taifa ni kama Kuku aliyekatwa kichwa.
Nawasilisha.