Nimepata mchempuko permanent

Juuchini

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
1,644
Reaction score
2,300
Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa kulinasa limama mtu mzima kabisa. Huyu ananizidi kama miaka 6 hivi. Sasa hivi mwenyewe ananiita mda wowote na haombi pesa maana ana kazi yake. Maisha burudani sana.
 
Familiar Trump kasitisha kuleta dawa za ARV huku Africa, kwaiyo usipojichunga familiar utaisha kama ule UKIMWI wa zamani, mtu anashikwa na ngoma kakondeana mifupa inaonekana, nywele kupukutika kama mahindi. Wee endekeza nyege tu unachokitafuta utakipata.
 
Utakufa vibaya wewe nakuhurumia
 
USAID hawatoi tena ARV siku hizi mkuu. Mmepima?
 
Usitufokee!
 
Kakuxudi miaka sita unamuita mama?miaka sita anaweza kukuzaaa? Acha ujinga huyo mnalingana, unatakiwa kumuita mtu mama kama anakuxidi kuanzia miaka 17
 
USAID hawatoi tena ARV siku hizi mkuu. Mmepima?
Inasikitisha sana,kijana wanakwenda kupata Ukimwi kipindi kibaya,Mbaya atamuambukiza Mkewe,na Mkewe kunakijana wa Boda anasimamia ukucha.Halafu watalalamika Trump Mtu Mbaya.
 
Tushike lipi sasa! Umepata mchempuko au michubuko!
 
Hizi ndio nyuzi za maana sasa....
Ila utakua umesha rogwa wewe...😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…