Nimepata mchempuko permanent

Nimepata mchempuko permanent

Uwe na budget ya kupima kila mnapotaka kuwekana, au uvae gwanda kila mnapotaka kuwekana...its boring, bora kubaki na mmoja au kupiga mkono tu!
 
Kwahiyo unatu ringishia au?? Unatufanyia doori dori, dori samwela kwa huyo bibi?
 
Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa kulinasa limama mtu mzima kabisa. Huyu ananizidi kama miaka 6 hivi. Sasa hivi mwenyewe ananiita mda wowote na haombi pesa maana ana kazi yake. Maisha burudani sana.
Ukimwi upo, na unaua
 
Unamshukuru Mungu au shetani kwa kupata mchepuko. Ewe mwanandoa heshimu ndoa yako
 
Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa kulinasa limama mtu mzima kabisa. Huyu ananizidi kama miaka 6 hivi. Sasa hivi mwenyewe ananiita mda wowote na haombi pesa maana ana kazi yake. Maisha burudani sana.
Kwa nini ulioa kama unashindwa kumheshimu mkeo na ndoa yako? kwa nini uliamua kuoa?
 
Back
Top Bottom