Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Bikira sio issue , hara Malaya walikua na bikira ikatoka wakaanza kua Malaya so hata huyo utaitoa tu! Na atarudi default mode ,

KATAA NDOA!
 
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
Mkuu ulijuaje ana bikra!
 
Don't marry a begginer huwa wana mambo ya ajabu just date

Tafut mwanamke aliptia mahusiano atleast 1/3 boys
 
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
Eti binti wa Kondoa_Tanga bikra! Weee! Umemuonja ukakuta bikra? Mlango wa nyuma umeutazama vizuri?
 
Kama ni bikra oa haraka sana
Mimi kuna demu nimeingia nae kwenye mahusiano kila mara nasemaga kama ningemkuta bikra basi ningemuoa maana ninemuelewa sasa ila kwakua alishatumika na wengine basi na mimi nitapita tu
 
Wakuu hii imenitokea mimi. Kuna manzi niliona ni wife material ikabidi nimtokee. Hakunizungusha sana kunikubali ila changamoto ikaja kwenye kumtafuna. Kwa muda mrefu binti alikuwa anakataa katakata kufanya mapenzi kiasi kwamba tukawa tunaishia mabusu na mambo mengine madogo madogo. Alikuwa akidai yeye ni bikra na atanipa mzigo baada ya ndoa. Tulibishana sana ila nikajiambia muda ndo hakimu wa haki. Ukweli utajulikana tu bila kutumia nguvu.

Sasa majuzi kaja geto tukapiga romansi na nikashangaa manzi kanivulia na kuniruhusu nichakate. Kweli nikapiga. Bikra haikuwepo. Kiukweli nilipiga bao moja tu na kuingia kwenye mawazo mazito mno kwamba kwa muda wote huo mimi nilikua bwege na kuna wahuni walikuwa wanapiga. Ingekuwa wewe ungesamehe na kuendelea na mipango ya kuja kuoana au ungemwacha?
 
Wacha hio
 
Unaweza oa single maza, baamedi, mwl, polisi, anaekuzidi umri, etc na mkaelewana vizuuuri kabisa na unaweza oa bikra, sijui aliyejifunza, anaheshimu, swala tano, mlokole etc na nikashindwa na tena mkatimuana kwa aibu

Ndoa ni kitu kilicho huru na cha asili uki kiuka misingi yake bila kujali cheo, uchumi n.k ndoa itakua cha, ndoa haitegemei ubikra, shekh wala mchungaji au padri,
ndoa inataka mwanaume ampende na awajibike kwa mke wake na mke amuheshimu mumewe na awajibike kwake, ikiwa hivyo mtadumu na mtafurahia ndoa bila kujali kama mna dini au hamna, sasa wewe unaeoa 7bu ya bikira unatakiwa kujua hiyo bikira ni ya siku moja lakini kuna siku maelfu ya kuwa pamoja huyo kikubwa umpende nae amuheshimu.
 
Naomben ushauri nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa. Ni mtu wa Kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukweli nipo kwenye mawazo makali sana. Naomben ushauri nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
Umejuaje kama ni bikra, je wewe umewahi kuchimba mgodi kabla ya hili sakata lako
 
Back
Top Bottom