Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Usiku upi huo tena πumehit kwenye ukweli aseee,, usiku mwema
Usinichanganye sasa nawewe πUsiku upi huo tena π
Mkuu ulijuaje ana bikra!Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana
Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?
Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.
Mimi Nina 30 kwa sasa
Ungejua warangi walivyo malaya hata usingetumia neno "kujitunza"Mrangi hao ni kawaida kwao wanajitunza sana hapo oa haraka uanze kufurahia maisha
Hongera kwa kupata bahati sio Kila mtu anapata mke wa kirangi
Eti binti wa Kondoa_Tanga bikra! Weee! Umemuonja ukakuta bikra? Mlango wa nyuma umeutazama vizuri?Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana
Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?
Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.
Mimi Nina 30 kwa sasa
Wakuu hii imenitokea mimi. Kuna manzi niliona ni wife material ikabidi nimtokee. Hakunizungusha sana kunikubali ila changamoto ikaja kwenye kumtafuna. Kwa muda mrefu binti alikuwa anakataa katakata kufanya mapenzi kiasi kwamba tukawa tunaishia mabusu na mambo mengine madogo madogo. Alikuwa akidai yeye ni bikra na atanipa mzigo baada ya ndoa. Tulibishana sana ila nikajiambia muda ndo hakimu wa haki. Ukweli utajulikana tu bila kutumia nguvu.
Sasa majuzi kaja geto tukapiga romansi na nikashangaa manzi kanivulia na kuniruhusu nichakate. Kweli nikapiga. Bikra haikuwepo. Kiukweli nilipiga bao moja tu na kuingia kwenye mawazo mazito mno kwamba kwa muda wote huo mimi nilikua bwege na kuna wahuni walikuwa wanapiga. Ingekuwa wewe ungesamehe na kuendelea na mipango ya kuja kuoana au ungemwacha?
KAMA SIO BIKRA KAMLILIE ALIEKUTOA UBIKRAusinambie kati ya wanawake wote tulotolewa bikra hujawah kulamba hata mojaπ
Ni mtu wa Kondoa ni mrembo sana
inaonekana hawajui warangi huyu jamaaUnawajua warangi kweli kiongozi? Aisee!!!
Mpumbavu wew,, usinitafute umeskia mxiuuu,,shobo zitakupelekea kulambwa ........ ngoj niishie hapa niku mute tu.KAMA SIO BIKRA KAMLILIE ALIEKUTOA UBIKRA
Umejuaje kama ni bikra, je wewe umewahi kuchimba mgodi kabla ya hili sakata lakoNaomben ushauri nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa. Ni mtu wa Kondoa ni mrembo sana
Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?
Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukweli nipo kwenye mawazo makali sana. Naomben ushauri nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.
Mimi Nina 30 kwa sasa