Nimepata mchumba Bongo movie

Nimepata mchumba Bongo movie

Na wewe upo kwenye tasnia hiyo? Kama ndivyo hongera maana itakuwa mwendo wa kuachia movie daily.
Kila la heri mkuu
Mm sipo kwenye tasnia lkn motto amesema yuko tayari kuacha uigizaji ajenge familia
 
mkuu naomba list ya bongo movie ambao wapo kwenye ndoa/ wamefunga ndoa na ikadumu ukiacha ile ya aunt , nataka niwapeleke makumbusho ya taifa
 
Vipi ukimwi maana hao wanashindana kutoa mimba Any Ezekiel akisema hakumbuki idadi ya mimba alizotoa
 
Jipange sana, Bongo movie hakuna wanawake wa kuoa bali kuna waigizagi.
 
Me nakutakia kila la kheri... Mbona yule bongo muv wakuitwa flora mvungi kaolewa na hbaba na ndoa yao imedumu sana

Usikatishwe tamaa trust your decision..
 
Endelea kula tunda tu, labda tu nawe ujiingize nawe kwenye uigizaji
 
maisha mema mkuuu .....badilisha mitazamo ya watu ,,,mke na mahali popote kama mmependana ila sio kiki weka ndan iooo
 
Salaam

Naombeni dua zenu nimepata mchumba bongo movie jina nalihifadhi mpaka muda utakapofika.
Nitakieni ndoa njema maana wengi wameshindwa kuwaoa hawa vimwana.
Asante
We ni me au ke.?
Tuanzie hapo kwanza..!
Na kama we ni me,
Je huyo mchumba ana chura au ndubwi.?
 
Back
Top Bottom