Alikuja January mwaka huu na gari la maiti Kwenye msiba wa jirani yao waliyeishi naye huko Sikonge-Tabora,
Alipofika na kuliona jiji ndo ikawa jumla na amepata bahati baada ya shemeji yake kumtafutia kazi ya ulinzi wa geti la hospital hivyo kampata mdada chipukizi wa Bongo "muvi"
Akajua mke[emoji12]