Nimepata mchumba Mchaga wa marangu nijulisheni tabia zao

Nimepata mchumba Mchaga wa marangu nijulisheni tabia zao

Sifa moja kuu ya wachaga wa marangu ni wapambanaji na pia wavumilivu sana na wakipenda huwa wanamaanisha kweli,unaweza wapiga matukio mengi mazito ya mda mrefu na wakakuvumilia tu like nothing happen,Ila siku wakichoka unyonge my Furend "RUN"[emoji23][emoji23] Kama hawatokuuwa basi utakutana na Revange Pro max hutoisahau hadi uingie kaburini[emoji23][emoji23] Wale visasi wamezaliwa navyo ila si rahisi kubadilika kma hawajafanyiwa kitu kizito , kila la heri lakini babe[emoji173]
 
Sifa moja kuu ya wachaga wa marangu ni wavumilivu sana na wakipenda huwa wanamaanisha kweli,unaweza wapiga matukio mengi mazito ya mda mrefu na wakakuvumilia tu like nothing happen,Ila siku wakichoka unyonge my Furend "RUN"[emoji23][emoji23] Kama hawatokuuwa basi utakutana na Revange Pro max hutoisahau hadi uingie kaburini[emoji23][emoji23] Wale visasi wamezaliwa navyo
Sasa wee bikira mbona huji kule kutusaidia kutetea hoja?
 
Sifa moja kuu ya wachaga wa marangu ni wavumilivu sana na wakipenda huwa wanamaanisha kweli,unaweza wapiga matukio mengi mazito ya mda mrefu na wakakuvumilia tu like nothing happen,Ila siku wakichoka unyonge my Furend "RUN"[emoji23][emoji23] Kama hawatokuuwa basi utakutana na Revange Pro max hutoisahau hadi uingie kaburini[emoji23][emoji23] Wale visasi wamezaliwa navyo
Hahahaha
 
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Usichukulie ndoa rahisi, pata muda wa kumchunguza deeply, na maamuzi ya mwisho uamue wew mwenyewe.. usiwasikilize wanaosema tabia utazijua mbele ya safari.

Hutaweza kumjua kwa asilimia 100 ila utakua umejua kwa uchache ni mtu wa aina gani. Usimkubali kwa kinyongo baadae kitakuwa kidonda na kitakutesa, NB: Usikilize moyo na akili yako, Hisia weka pembeni.
 
Back
Top Bottom