Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sifa kuu dharau na kujiskia hata umkute masikini lazima ajitutumue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikisema vijana namaanisha wa Sasa ya zamani hayana msaada sanaKumbe ? Labda vijana wa sasa aseee
Uko sahihi sana Kuna watu wanasema wahaya Wana brag mi nadhani hawajakutana na mmaranguSifa kuu dharau na kujiskia hata umkute masikini lazima ajitutumue
Sasa watu wamechanganyika mno ule utamaduni umepotea .Nikisema vijana namaanisha wa Sasa ya zamani hayana msaada sana
tutajie tabia zako kwanzaNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Kabisa yani Bora mzaramo ye atakuja na vizawadi Kila weekend kumpa mtoto ila mmarangu hahaha utachekea chooni na kuishia kuita watu mbwaSasa watu wamechanganyika mno ule utamaduni umepotea .
Siunajua tena mangi Marealle alituonyeshea njia ya shule mapema.Dah mnapenda sana shule bwashee🤣
2025 Bado tunaulizana makabila??wewe tupe kadi tukuchangie harusiNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Tupo vizuri hatuna Tabia za ovyo ovyo.Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Nimelelewa na mama Mmarangu..Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Kwani kwenye kabila lako umebaki peke yako au mpo wa jinsia kama yako pekee??Skuizi wakabila lako utampata wapi kila mahali kumeoza
Hapana nakataa tuko peace sana japokuwa kila mtu ana tabia yake hatuwezi fanana 100%Uko sahihi sana Kuna watu wanasema wahaya Wana brag mi nadhani hawajakutana na mmarangu
Mfano wako hauna mashiko. Ingekuwa yeye anaoa, sawa, au wewe umelelewa na baba mmarangu, sawa.!!Nimelelewa na mama Mmarangu..
Wana roho nzuri, wazuri na Wana shape, weupe (mie Msukuma)!
Chukuwa JIKO WALAHI!