Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Imenigusa😂 njoo kwa mmarangu wangu uone moto wake😂Wana vibamia 😹
Comment yangu sitaki mtu aguse..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imenigusa😂 njoo kwa mmarangu wangu uone moto wake😂Wana vibamia 😹
Comment yangu sitaki mtu aguse..!!
Andaa zaidi ya milion 10 kama mahari na bado gharama nyingineNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Uongo unampamba tyuu.!! 😹Imenigusa😂 njoo kwa mmarangu wangu uone moto wake😂
Ndio Wachagga wanaongoza kwa ustaarabu Wachagga wa eneo la Vunjo yaani Kirua, Kilema, Marangu, Mamba na Mwika. Labda uharibu mambo wewe mwenyewe!Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Mimi old moshiMnama nyie wa kiosoo vipi? Ndio mnapenda kujazana kariakoo 🤣🤣
Mimi mwenyewe ni Caucasoid in nature..Dah mnapenda sana shule bwashee🤣
Nimpambe kwanini?😂😂 jichanganyeUongo unampamba tyuu.!! 😹
Dunia nzima inajua wachaga vibamia 😹😹Nimpambe kwanini?😂😂 jichanganye
Hahaha nimewapakulia mimi sio mmarangu🤣😅😅Mangi unajipakulia minyama na nduguzo 😹
Popote ulipo udakwe ufugwe kwa oda yangu.Wana vibamia 😹
Comment yangu sitaki mtu aguse..!!
Nimetaka kukupa jina la migodini mirerani nimetulia tuu nakutafakariKaribu meku, wa marangu hawana shida pamoja na warombo na wachaga wa uru
Balaaa ni wakibosho, siha na adui kuu Machame
Wala hata sema tu Leo ndo naskia la wa-siha nlikuwa naskiaga wamachame tuUmeguswa mnama 😂
Wao wamewaona wapi kaka zao vibamia? Labda wale wa rombo…Dunia nzima inajua wachaga vibamia 😹😹
Nakuzingua bana naonaga mashosti zangu wanawasemaga kaka zao vibamia
Kuna faida zipi?Kwanin usiolewe na mtu wa kabila lako?
Kuna mwenzako alifungiwa ndani nyumba ikachomwa moto kama sikosei ni Mbezi hukoNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Kabisa,anazaliwa marangu na wazazi mixture,anakulia kwa wagogo, primary kwa wanyakyusa,olevel kwa wangoni,A level kwa wabena,chuo kwa wanyamwezi,kazi kwa wafipa........ aaaaaarrrrrrgggghhWewe angalia mwenyewe siku hizi kwa mwingiliano tulio nao sio rahisi kutoa jibu sahihi kwani hatujui kama amezaliwa na wazazi wote wa marangu au ni mchanganyiko.Kama umeelewa mapigo yake weka tatizo lako ndani upambane nalo.Natoa mchango wa bapa tano kubwa za K-vant