Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Shemeji wewe ni mmarangu? Naona umewaelezea jinsi ilivyo.Wanapenda kusoma nakuajiriwa , ila wengi wanapenda sana familia zao nawanajua kuzijali .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji wewe ni mmarangu? Naona umewaelezea jinsi ilivyo.Wanapenda kusoma nakuajiriwa , ila wengi wanapenda sana familia zao nawanajua kuzijali .
Wako walio peace hata huko uhayani Kuna watu hadi huaminiHapana nakataa tuko peace sana japokuwa kila mtu ana tabia yake hatuwezi fanana 100%
Hapana mimi sio ila ushemeji huo vip wewe mnyambo?😄Shemeji wewe ni mmarangu? Naona umewaelezea jinsi ilivyo.
Jukumu la kuchunguza mwenza ni lako binafsi kwani we ndiyo utaishi nae. Huolewi na kabila unaolewa na mtu.Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Atakua gay tuNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Unataka kukataa kuwa hujashenyeta dada zangu wa kinyambo😅😅😅Hapana mimi sio ila ushemeji huo vip wewe mnyambo?😄
Kale ka mpango ketu vipi lakini 😁😁Unataka kukataa kuwa hujashenyeta dada zangu wa kinyambo😅😅😅
Nimecheka kisengeTABIA halisi utaona baada ya kufunga ndoa, huwezi kupata ukweli specific wa tabia ya huyo mtarajiwa wako ktoka JF, funga ndoa then utafanya "post mortem", utatupa mrejesho
Yani tabia za mtu mmoja zimaanishe kabila zima au kabila zima liwe na tabia za huyo binti mmoja? Elimu yetu ina shida sana wanduguNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Naomba tukutane Kisuma Magomeni ili nikueleze tabia zao hasa kuhusu kukwea minazi, mimi mzaliwa wa Sengia Marangu pyua, Jumapili tukitoka kanisani ndio muda muafaka bebi, samahani nilitaka kuandika mkwe mtarajiwa, sisi wamarangu ni wacheshi na tunapenda sana utani.Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Hebu nikumbushe shemeji😁Kale ka mpango ketu vipi lakini 😁😁
Mangi unajipakulia minyama na nduguzo 😹Wanapenda kusoma nakuajiriwa , ila wengi wanapenda sana familia zao nawanajua kuzijali .
Ww ni mtu wa wap kwanza ?? I mean umetokea mkoa gan?Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Pus kiti moto na biaWewe nenda kaolewe tabia zao utazijua ukishafika huko kwao. Sisi hatujawahi kuishi na familia unayoenda kuolewa mpaka tujue tabia zao.
Anyways wanakunywa mbege na kula machalari.