Nimepata mchumba Mchaga wa marangu nijulisheni tabia zao

Nimepata mchumba Mchaga wa marangu nijulisheni tabia zao

Hapana nakataa tuko peace sana japokuwa kila mtu ana tabia yake hatuwezi fanana 100%
Wako walio peace hata huko uhayani Kuna watu hadi huamini
Ila kwa ujumla Sasa ndio tunaamini wamarangu Wana brag sana japo sio wote na hii naisema kwa sababu nimeishi nao marangu na himo na naishi nao dar
 
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Naomba tukutane Kisuma Magomeni ili nikueleze tabia zao hasa kuhusu kukwea minazi, mimi mzaliwa wa Sengia Marangu pyua, Jumapili tukitoka kanisani ndio muda muafaka bebi, samahani nilitaka kuandika mkwe mtarajiwa, sisi wamarangu ni wacheshi na tunapenda sana utani.
 
Back
Top Bottom