Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 248
- 287
Tabia sio nywele kwamba zinatabirika swala ni namna mtu alivo na mazingira aliokulia ndio yana matter historia inaweza kukupotezaNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
😁😁😁 na hata kama hana ila kwa muonekano tu utamwona kama anazo😛Hongera sana. Sifa ya kwanza wana hela. 😜
TABIA halisi utaona baada ya kufunga ndoa, huwezi kupata ukweli specific wa tabia ya huyo mtarajiwa wako ktoka JF, funga ndoa then utafanya "post mortem", utatupa mrejeshoNatarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Muonekano bila maokoto ni sawa na bureee 😅😅😅😅😁😁😁 na hata kama hana ila kwa muonekano tu utamwona kama anazo😛
Uliolewa nae lini, au ndo mtoto unautaka?Kama za Mbowe
Mnakunywa sana maziwa 😆Muonekano bila maokoto ni sawa na bureee 😅😅😅😅
Yanatung’arisha sanaMnakunywa sana maziwa 😆
Una speed sana masterKama unazo fedha na miradi huyo atakuwa make wa mtu!
Ila kama una fedha na miradi huyo ni mke wako wa ndoa!
Ogopa matapeli hakuna mangi anatelekeza mtoto bwasheKama ni kijana atakuachia mtoto kama zawadi
Nimeishi na mangi tangu mdogo hadi Sasa ni mtu mzimaOgopa matapeli hakuna mangi anatelekeza mtoto bwashe
Kumbe ? Labda vijana wa sasa aseeeNimeishi na mangi tangu mdogo hadi Sasa ni mtu mzima
Wanawake wengi hasa mijini wamedanganywa na hii tricky na kuishia kuwa single mother wakipambana kulea na kauli Yao ni hiyo
Hapo marangu mtoni na lizaboni nimekaa sana
Mmarangu akikutana na mwanamke mpya wa zamani anamuachia zawadi ya mtoto na kumbuka by nature ni watu arrogant
Kabisa mkuu umenena vyema , mimi debe mbili za mbege nawasilisha .Wewe angalia mwenyewe siku hizi kwa mwingiliano tulio nao sio rahisi kutoa jibu sahihi kwani hatujui kama amezaliwa na wazazi wote wa marangu au ni mchanganyiko.Kama umeelewa mapigo yake weka tatizo lako ndani upambane nalo.Natoa mchango wa bapa tano kubwa za K-vant