Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Habari Jf!
Nimefanikiwa kupata nyumba ndogo tupo hatua za mwisho kufunga ndoa.
Katika harakati za muonjano nikagundua ana sehemu mbili lakini ya kike ndo inaonekana vizuri na ipo vuzuri nimeenjoy.Ya kiume ipo Kwa juu lakini ni ndogo binti Mwenyewe mkali pisi Kali ya kisambaa.
Najiuliza maswali mengi ya mguu ndani mguu Nje ushauri wenu marafiki zangu.