Nimepata mchumba mwenye sehemu mbili za uzazi

Haikuwa busara kuliweka hilo kama ni la kweli.

Kila binaadamu Mungu kawaumba na mapungufu ya kitabia na kimaumbile vilevile.

Ni Mungu tu anaamua amuumbe mtu kwa namna gani na sisi wanadamu kuwakosoa, kuwasengenya ni kumkosoa aliye Muumba.

Tukumbuke sisi ni wazazi tunazaa, zisi ni mababu tutapata wajukuu, na matatizo sii kwamba kuna watu au jamii ilioundiwa lakini yaweza kutokea popote na kwa mtu yoyote.
 
Hongera sana sana
 
Ya kiume ni ndogo sana mithili ya Mtoto mchanga lkn ni Origional penis
Kisimi kimeumbwa Kama kichwa Cha uume wako mkuu, wala usipate hofu.

Sema vingi Ni fupi Sana Kias huwez kuona lile umbo lake halisia, ukikutana na vile virefu kuanzia nchi 1+ vinaumbo la uume kabisa hasa akiwa na nyege.
 
Hajakuonja?
 
Mtoa mada usipate tabu kabisa,

Kwanza niseme TU umepata Mwanamke sahii kabisa, Tena Lulu usimpoteze.

Hofu yako inaweza kumfanya asijiamini anapokua na Wewe, Hawa wanawake wa hivi Ni adimu Sana[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…