Nimepata mchumba mwenye sehemu mbili za uzazi

Nimepata mchumba mwenye sehemu mbili za uzazi

Habari Jf!

Nimefanikiwa kupata nyumba ndogo tupo hatua za mwisho kufunga ndoa.

Katika harakati za muonjano nikagundua ana sehemu mbili lakini ya kike ndo inaonekana vizuri na ipo vuzuri nimeenjoy.Ya kiume ipo Kwa juu lakini ni ndogo binti Mwenyewe mkali pisi Kali ya kisambaa.

Najiuliza maswali mengi ya mguu ndani mguu Nje ushauri wenu marafiki zangu.

Mshauri muikate hiyo dushe na muiuze kwa wachimba madini, ni utajiri huo ameuikalia.🤣
 
Habari Jf!

Nimefanikiwa kupata nyumba ndogo tupo hatua za mwisho kufunga ndoa.

Katika harakati za muonjano nikagundua ana sehemu mbili lakini ya kike ndo inaonekana vizuri na ipo vuzuri nimeenjoy.Ya kiume ipo Kwa juu lakini ni ndogo binti Mwenyewe mkali pisi Kali ya kisambaa.

Najiuliza maswali mengi ya
Hilo nalo nendeni mkalitizame
 
[emoji15][emoji15][emoji15] Aweeeee! Hapo ni mie na speed 100, haki mi siwezi lala hapo, hapana wakuu! Hapana! Bora nikapige punyeto! Anaweza kunigeuza huyo [emoji23][emoji23][emoji23] Hapana!
Acha uoga wewe[emoji16]
 
Habari Jf!

Nimefanikiwa kupata nyumba ndogo tupo hatua za mwisho kufunga ndoa.

Katika harakati za muonjano nikagundua ana sehemu mbili lakini ya kike ndo inaonekana vizuri na ipo vuzuri nimeenjoy.Ya kiume ipo Kwa juu lakini ni ndogo binti Mwenyewe mkali pisi Kali ya kisambaa.

Najiuliza maswali mengi ya mguu ndani mguu Nje ushauri wenu marafiki zangu.
Subiri ukishamuoa siku moja usiku ukajikuta ameshachomeka number zero ndiyo utajua
 
Haikuwa busara kuliweka hilo kama ni la kweli.

Kila binaadamu Mungu kawaumba na mapungufu ya kitabia na kimaumbile vilevile.

Ni Mungu tu anaamua amuumbe mtu kwa namna gani na sisi wanadamu kuwakosoa, kuwasengenya ni kumkosoa aliye Muumba.

Tukumbuke sisi ni wazazi tunazaa, zisi ni mababu tutapata wajukuu, na matatizo sii kwamba kuna watu au jamii ilioundiwa lakini yaweza kutokea popote na kwa mtu yoyote.
Hizi anazoleta hapa ni laana na kama hazitamkuta katika vinasaba vyake uzao wake utalaaniwa. Mungu akuepushie na atulinde sote.
 
Habari Jf!

Nimefanikiwa kupata nyumba ndogo tupo hatua za mwisho kufunga ndoa.

Katika harakati za muonjano nikagundua ana sehemu mbili lakini ya kike ndo inaonekana vizuri na ipo vuzuri nimeenjoy.Ya kiume ipo Kwa juu lakini ni ndogo binti Mwenyewe mkali pisi Kali ya kisambaa.

Najiuliza maswali mengi ya mguu ndani mguu Nje ushauri wenu marafiki zangu.
Hi bro achana na ushauri wa wapumbavu,nenda nae hosp utapata ufumbuzi
 
Nakushauri ulale nae kwa tahadhari.

Siku hicho kiswaswadu cha huyo binti kikisimama ghafla ,
itakuwa ndy siku utakayopoteza bikira yako ya marinda.

Mwanamke akiwa na sehemu mbili za uzazi huyo ni mwanaume mwenzio.
 
Kama umempenda fanya tu maamuzi, ni Siri yenu. Usiwaone watu wanatembea, wana Siri zao.
 
Huyo Ni Mwanamke mkuu,
Na Hicho Ni kisimi kirefu bwashee,
Hakuna mwanadamu kaumbwa na sehemu mbili za uzazi mkuu.
(hermaphrodite is myth, they don't exist)
Wapo.... they are existing for sure....nishawahi kukutana naye na mpaka leo nawasiliana naye....na historia ya familia yao inathibitisha maana kuna watoto wanne wa kike watatu na wa kiume mmoja ila wote ni kama wanajinsia mbili kwa inavyosemwa ila huyu niliyebahatika kumvua nimeshuhudia kabisa ni real
 
Back
Top Bottom