Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Wanawake wa Kimeru ni majembe aisee we chukua tu wanachapa kazi ile mbaya wewe unakula kwa mrija...
Iwapo mpaka sasa hujaona tabia ya ajabu na umeridhika, endelea na mipango yako mtu wangu. Mambo ya kuulizia tabia za makabila haitokusaidia. Tabia nyingi za makabila yetu ni za utani na stereotyping tu!