Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Max kissey

Member
Joined
Jan 28, 2016
Posts
81
Reaction score
63
Heshima zenu wakuu.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.

Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.

Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?

Asanteni.
 
kama hiyo 50m umeipata ndani ya muda mfupi ukiwa huko ufaransa naona unayo fursa nzuri ukiwa hukoya kuwa miliomea.

au kama unaona unaweza fanya uwekezaji wa muda mrefu jenga nyumba pangisha kula pesa mdogo mdogo....

au baada ya ujenzi iuze kupitia madalali. kama wafanyavyo shirika la nyumba.

japo inaweza kuhitaji uongeze pesa kidogo
NB haya ni maoni yangu tu na sio sheria na nipo tayari kukosolewa kwa lengo la kujifunza zaidi.
 
Mr Q ushaur wako mzuri sana..Merci beaucoup mon frère.
 
Unataka PM yako ijae mkuu? katika huo umri kama na kama kweli unaishi ufaransa exposure yako isingekufanya ulete hili bandiko kama kweli ume BAHATIKA kupata huo mpunga?...
Asante kaka.
 
Endelea na unachokifanya huko na hizo daladala nimefanya. Fuso mpaka scania miaka 20 sasa. Sio kihivyo.
Kiwanja cha kujenga ni maporini. Kununua hiyo hela haitoshi nyumba prime areas kama sinza.
Sikukatishi tamaa ila jitahidi uwe na japo 200m kama unataka kutoka fasta hapa bongo.
 
Nimekupata vizuri mkuu
 
Hiyo pesa fukia mahala tulivu lau iwe inagenerate interest then endelea kufukuzia hiyo deal iliyokufanya ukakamata hizo ngawila!
Usiwekeze huku Bongo kamwe usithubutu vijana watazifutika hizo pesa mifukoni mwao then wanayeya na kukuacha solemba!
Huku home hakuaminiki. Kitaa mzunguko wa pesa ni mdololo na Mjomba Magu kakaza!
Kiujumla komaa na kazi zako hukohuko achana na wala vumbi ndugu lawama...
 
Back
Top Bottom