Max kissey
Member
- Jan 28, 2016
- 81
- 63
- Thread starter
- #21
Nadhan alikuwa anamaanisha gari la biasharaGARI LA BIASHATA NDIO GARI GANI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan alikuwa anamaanisha gari la biasharaGARI LA BIASHATA NDIO GARI GANI?
Wastaafu wote wameweza kuishi kwa kutegemea kilimoKilimo na ufugaji hakitengenezi mamilionea fasta mkuu. Hebu taja japo 2 tunaoweza kuwachukulia kama roll modal
Mkuu huyu sio mstaafu bali kijana mbichi miaka 25 !Wastaafu wote wameweza kuishi kwa kutegemea kilimo
mbona hela yake haitoshi akitaka kununua coaster..coaster mpya kabisa ni 60ml au labda anunue kwa mtununua coaster uanze biashara ya daladala na pesa zinazobaki wekeza katika kilimo...
mkuu changamoto kubwa kwenye biashara ya daladala ni ipi,, na je ww ulifanyia wap hyo biashara..kama ni dar njia hipi inalipa sana,,,na malengo kwa siku ni shingap,,, sorry kwa usumbufu kakaEndelea na unachokifanya huko na hizo daladala nimefanya. Fuso mpaka scania miaka 20 sasa. Sio kihivyo.
Kiwanja cha kujenga ni maporini. Kununua hiyo hela haitoshi nyumba prime areas kama sinza.
Sikukatishi tamaa ila jitahidi uwe na japo 200m kama unataka kutoka fasta hapa bongo.
ww unavuna 8m kila mwezi kwa ufugaji wa samaki na kuku,,Mradi mzuri na kupiga pesa haraka bongo ni ufugaji wa samaki na kuku kila mwezi unavuna 8m
Nilianza mikoani nikaja dar kwa daladala ila ugumu wake madereva wengi mateja. Hawatunzi chombo. Siku moja nilipanda gari langu sikukuta dereva wala konda ila mateja wawili na chombo kinalelekwa 'kimperampera' ligi kwelikweli. Nauli nikatoa na chenji sikupewa.mkuu changamoto kubwa kwenye biashara ya daladala ni ipi,, na je ww ulifanyia wap hyo biashara..kama ni dar njia hipi inalipa sana,,,na malengo kwa siku ni shingap,,, sorry kwa usumbufu kaka
Usimpoteze. Watu tunafanya analysis kwenye forex hakujatulia. Kisa safari na rushwa hakunaWekeza kwenye financial markets kama unataka utoke fasta.
Forex zinakutoa fasta, ukiweka hiyo 50M utakuwa unatengeneza kama 500USD kila siku.
Davion Delmonte Jr.
daaah aise .! bongo kuna watu waongo .. hao samaki gani uvune kila mwezi millioni 8 .. daah hatariww unavuna 8m kila mwezi kwa ufugaji wa samaki na kuku,,
Nataka kujua unayetoa ushauri huu una kiasi gani mpaka sasa maana unaongea kama mtu ambaye hata laki ya akiba kwenye akaunti huna.Endelea na unachokifanya huko na hizo daladala nimefanya. Fuso mpaka scania miaka 20 sasa. Sio kihivyo.
Kiwanja cha kujenga ni maporini. Kununua hiyo hela haitoshi nyumba prime areas kama sinza.
Sikukatishi tamaa ila jitahidi uwe na japo 200m kama unataka kutoka fasta hapa bongo.
Nimeku pm mkuuHeshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Njoo chemba utashangaa. Pesa ninazo.kazi nzuri kubwa na cheo kikubwa na kampuni kubwa vinafanya kazi.Nataka kujua unayetoa ushauri huu una kiasi gani mpaka sasa maana unaongea kama mtu ambaye hata laki ya akiba kwenye akaunti huna.
Wewe unalimia mkoa upi mkuu?Njoo tujilimie vitunguu ngw'anawane!
Angalia avator yangu. Hiyo ni versatile. Miaka ya 90 mwanzoni tulikuwa tunalima ngano large scale huko basotu Hanang kwa mashamba ya kukodi.Wewe unalimia mkoa upi mkuu?