Max kissey
Member
- Jan 28, 2016
- 81
- 63
Asante ndugu yangu ..ushauri mzurinunua daladala uanze biashara
Mr Q ushaur wako mzuri sana..Merci beaucoup mon frère.kama hiyo 50m umeipata ndani ya muda mfupi ukiwa huko ufaransa naona unayo fursa nzuri ukiwa hukoya kuwa miliomea.
au kama unaona unaweza fanya uwekezaji wa muda mrefu jenga nyumba pangisha kula pesa mdogo mdogo....
au baada ya ujenzi iuze kupitia madalali. kama wafanyavyo shirika la nyumba.
japo inaweza kuhitaji uongeze pesa kidogo
NB haya ni maoni yangu tu na sio sheria na nipo tayari kukosolewa kwa lengo la kujifunza zaidi.
Asante kaka.Unataka PM yako ijae mkuu? katika huo umri kama na kama kweli unaishi ufaransa exposure yako isingekufanya ulete hili bandiko kama kweli ume BAHATIKA kupata huo mpunga?...
Nimekupata vizuri mkuuEndelea na unachokifanya huko na hizo daladala nimefanya. Fuso mpaka scania miaka 20 sasa. Sio kihivyo.
Kiwanja cha kujenga ni maporini. Kununua hiyo hela haitoshi nyumba prime areas kama sinza.
Sikukatishi tamaa ila jitahidi uwe na japo 200m kama unataka kutoka fasta hapa bongo.
Kilimo na ufugaji hakitengenezi mamilionea fasta mkuu. Hebu taja japo 2 tunaoweza kuwachukulia kama roll modalMradi mzuri na kupiga pesa haraka bongo ni ufugaji wa samaki na kuku kila mwezi unavuna 8m
Kivpi mkuu? Jaribu kudadavuaMradi mzuri na kupiga pesa haraka bongo ni ufugaji wa samaki na kuku kila mwezi unavuna 8m
Presha tu atafaidi kuliko faidanunua coaster uanze biashara ya daladala na pesa zinazobaki wekeza katika kilimo...
Kivipi mkuu kwenye hili suala.?Presha tu atafaidi kuliko faida
Biashara ya usafirishaji ni ngumu sana kuliko unavyofikiriaKivipi mkuu kwenye hili suala.?