Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

njoo nikuuzie business proposal milioni kumi na nina uhakika itawork

Miss usije ukamuuzia bahari tu[emoji1][emoji1]wa chai kaishiLondon miaka 25karudi na mbwa bongo.mkulimwa alikuwa nazo kama hizo miaka ile ya 95 uliza sasa kafanyianini zaidi ya kubadilishia wasenge tu kule mketo! Sasa hivi anaomba kiama kije wote tufe.mimi naamini kuna mahali fulani pesa huwa inakosea njia unakuwaje na hela halafu hujui kuzitumia.
 
Ndiyo hivyo yani hata kununua biashara ya mwingine amendeshe kisasa hawez
 
Mmmmh hii biashara ni ngumu saan kuifanya mtu..nmeifanya mwaka wa 2 sas ila inachangamoto nyingi Kam kweli ukiwa na roho ya ubinadamu na huruma uku kugum saan hasa kwa hali ya sas,apa nafklia kuachana nayo
Kweli mkuu, mi ni mwaka wa tano naiendesha hii biashara usipime!

Mi kila ikifika huo mwisho wa mwezi wa kulipwa naishia Polisi tuu, kwa jinsi navyozungushwa!

Jamani wabongo hawalipi. Period!
 
Reactions: MC7
¼ inakuusu kwanza nikushauri hizo hela tenga baadhi uchekiwe akili kwanza
 
Wekeza kwenye financial markets kama unataka utoke fasta.

Forex zinakutoa fasta, ukiweka hiyo 50M utakuwa unatengeneza kama 500USD kila siku.

Davion Delmonte Jr.
Mkuu ebu eleza vzur kuhusu io Financial market. Naweza elimika nami nkaingia uko. Tafadhali
 
Nitafute nikupatie Deal la pesa ndefu utakuwa millionaire!
 
Million 50 si tayari milionea, au milionea maana yake nini?
kuwa na chanzo cha kipato kinachokupa uhakika wa kupata mamilioni ya pesa ndan ya muda mchache na kiwe na mwendelezo.
Kumiliki milion kadhaa hakukufany kuwa milioner bali uhakika wa kuzpata izo milion kadhaa katka muda fulan. Tena yawezekana ndan ya kila siku.
Utanrekebsha kistaarabu km nmekosea
 
Kama unataka kuwa milione kwa haraka fanya INTERNATION TRADE tafuta opportunity ichanga mkie na pia kuwa makini ukifanya kichwa kichwa baadae utakuja juta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…