Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

materials zenyewe ni zipi na ni kiwanda gani na ni wapi?
Ndg Nina laptop hp na window phone nipe laki tano nianze na huo mtaji.... Unanitosh sana, wewe chagua nikuuzie au niweke bond... Tuanzie hapo.... Kwanza
 
Lazima iwe USD 1 Million or Sterling Pound.
 
Kama uko nje ya Tz fanya biashara ambazo unaweza kuzifuatilia kwa ukaribu hata ukiwa nje kama:
1.Stock exchange
2.Fixed Deposit
3.Hati fungane
Na nyingine kama hizo
Kama upo hapa hapa waweza fanya biashara nyingi lakini hiyo itategemea sana
1.Exposure
2.Experience
3.Interests
4.Connection/Network
5.Location
Na kadhalika
 
Biashara hapana. Coaster utakuja kuniambia majanga.
Muhim jenga nyumba/nunua nyumba uipangishe. Kod uchukue 4 kwa mwezi, kwa mwaka? Miaka kumi imerudi.
Nipo tayar kukuelekeza. Tena million 35 unapata nyumba nzuri kabisa
 
Biashara hapana. Coaster utakuja kuniambia majanga.
Muhim jenga nyumba/nunua nyumba uipangishe. Kod uchukue 4 kwa mwezi, kwa mwaka? Miaka kumi imerudi.
Nipo tayar kukuelekeza. Tena million 35 unapata nyumba nzuri kabisa
wap unapata nyumba kwa hyo hela ..mkoa gan yaan
 
Duuu. We jamaa unataka kufanya nn? Wazo lako unauza?
 
Tiyari weye ni millionea mkuu. Kwani millionea ni mtu mwenye ngapi? Ukiwa na 2m tiyari weye ni millionea. Rudi nyumbani, alika watu waje kula X'mass watakuinua juu uwape lager za kutosha. Hata ukifa kwa BP watakukumbuka tu mkuu. Usiitese roho yako kwa kuanzisha biashara hapa tz ya viwanda. Makodi kibao na tra wanakufukuzia tangu utakapoingia JKNA na kukunusa ka uliyebeba gongo. Labda uanzishe biashara kwingine
 
being a millionaire is a process... not an overnight event... tuliza kichwa... jitambue ww ni mtu wa aina gani... soma vitabu vingi... ongeza maarifa... tafuta biashara inayokufaa then uifanye kwa moyo... one day utafikia malengo yako... sio leo wala kesho... lakin usikate tamaa... hata bahkresa alianza na kuuza barafu
 
Njoo tujilimie vitunguu ngw'anawane!

mkuu samahani, vitunguu unalima wapi... nahitaji mawazo kidogo kwenye hiki kilimo... nahitaji kujua aina ya ardhi ya kulimia vitunguu..na soko lake kiujumla limekaa. Nafikiria kuanza aina hii ya kilimo in mass production..
 

mkuu maeneo yapi yanapokodishwa hayo maeneo ambayo naweza lima viazi mviringo, na vipi kuhusu mbegu.. namaanisha naweza kuipata wapi?? msaada tafadhari mkuur
 
Kuna mashamba heka 2 yanauzwa huku arusha, yanafaa kwa kilimo cha umwagiliaji, yote jumla ni millioni 14. Maelezo zaidi 0766646019
 
50m/= ununue kiwanja halafu ujenge nyumba ya kupanga???? Labda kama unajenga banda la kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…