asaprichie
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 297
- 238
labda anasemea samaki papa[emoji1] [emoji1] [emoji1]daaah aise .! bongo kuna watu waongo .. hao samaki gani uvune kila mwezi millioni 8 .. daah hatari
tatizo la kusoma juujuu.50m/= ununue kiwanja halafu ujenge nyumba ya kupanga???? Labda kama unajenga banda la kuku
Mwambie hapa tuskie na sisiNjoo kwenye WhatsApp. 0776129999 niwambie kitu
huyo anataka kumtapeli mwenzieMwambie hapa tuskie na sisi
Mimi nina adabu zangu heshima kwa wakubwa na wa dogo mimi sijawahipo kutapeli inshallah inshallah wala sitowahipo ahasante kwakunizania vibaya na kushukuru Sánahuyo anataka kumtapeli mwenzie
We hata beI ya coaster haujui braza.... anunue coster na ajenge gest... kwa pesa gani??Nunua coaster upige hela, inayo baki jega nyumba ya wapangaji au guest
[UllMkuu nakupongeza sana kwa ku save hiyo hela mkuu, itabidi uongeza hapo milion 30 ili ununue Scania Mende mkuu ,kwa Arusha unalaza milion 5 au nne kwa mwezi na gari haiendi mbali ni Korongoni au pale Kia kubeba chipping kaka ,ni 114 ,360 manual mkuu mimi najua mzungu mmoja anauzaga yuko Uingereza mkuu, inalipa sana kaka .
Mkuu hiyo scania ni milioni 80?Hiyo hapo juu mkuu naomba inbox me please ili uweze kuagiza na kuanza kupiga kazi kaka ,