Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Tayari wewe ni milionea,labda kama unautaka ubilionea.
 
50m/= ununue kiwanja halafu ujenge nyumba ya kupanga???? Labda kama unajenga banda la kuku
tatizo la kusoma juujuu.

malizia aya ya mwisho nimemwambia atahitaji kuongeza pesa pesa.

afu banda gani la kuku linagharumu milioni hamsini kwa hapa Tanzaniia?

hebu na uweke picha la kasri ulilo jenga lililokugharimu mabilionituone au ndio kutaka uonekane unazo..
 
huyo anataka kumtapeli mwenzie
Mimi nina adabu zangu heshima kwa wakubwa na wa dogo mimi sijawahipo kutapeli inshallah inshallah wala sitowahipo ahasante kwakunizania vibaya na kushukuru Sána
 
[UllMkuu nakupongeza sana kwa ku save hiyo hela mkuu, itabidi uongeza hapo milion 30 ili ununue Scania Mende mkuu ,kwa Arusha unalaza milion 5 au nne kwa mwezi na gari haiendi mbali ni Korongoni au pale Kia kubeba chipping kaka ,ni 114 ,360 manual mkuu mimi najua mzungu mmoja anauzaga yuko Uingereza mkuu, inalipa sana kaka .
 
Attachments

  • 1483386912019.jpg
    1483386912019.jpg
    32.5 KB · Views: 56
Hiyo hapo juu mkuu naomba inbox me please ili uweze kuagiza na kuanza kupiga kazi kaka ,
 
Nakupa contact za huyo mzungu ambaye tuko UK unaweza kwenda kumwona maana sio mbali from Paris to London just take a train kaka
 
Hauwezi kuwa Ufaransa na kuomba udadavuzi mil.50 Afrika.
Sema una"study" kuweza kufanya biashara ya kiasi hicho cha pesa. Ni idea nzuri kuweza kukwepa fujo ya kufuatiliwa na mitapeli ya kila sampuli iliyojazana kusubiri kula bila kuvuja jasho.
 
Ukikaa nazo tu tayari ww ni mionea...mana ni mamilion kumi matano....nkuvwire
 
Back
Top Bottom