Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

kinalimwa wapi mkuu?
 
mkuu hawasumbui maafisa wetu kwenye hii biashara?...inaonekna ni biashra nzuri
 
mkuu umewai kulima kiazi ww,,au unaambiwa tu,,mm nimzoefu kwenye hiki kilimo,,embu fikilia msimu wa kuvuna umefika alafu sokoni kumetapika na mbaya zaidi kiaz hakiwekeki siyo mahindi yale au mpunga kwamba biashara ikiwa mbaya nitaweka stoo,,nimelima kiazi mwaka huu ambacho nimetoa mwez wa saba,,bei ilianza elf 55 wakulima weng wakadengua eti bei itapanda kwa sababu kiazi cha mwez wa pili mikoa ming kiliungua na ukungu,,sokon kikaanza kuingia Obama ya Kenya,,wale waliodengua kwa elf 55 ikawa haipo tena hyo bei ikawa elf 40,,napo wanunuzi hamna,,aiise kilimo cha kiazi kikikutoa kimekutoa kweli,,kikikuta utakichukia
 
Nimekuwa nkibase kwenye kusoma tu nnahisi kuanzia leo nianze na demo account pia iwe rahisi kwangu kuelewa zaidi na kwa haraka

Sure, you'll be on a right track.
 
Una milioni 50 umeishakuwa milionea; wewe iliyobaki ni kuweka miguu juu na kuzitumbua hizo milioni zako na zikiisha zitakuja nyingine!!!!
 
Hiyo bei ya kwa mkulima ndugu naielewa mi nasema bei ya kuuza dar es salaam ni 80,000... na ukitumia kilimo cha umwagiliaji unapunguza risk pia mbolea inahusika ili kukuza vizuri na kisishambuliwe na wadudu...
Alaf pia hata mtu ukiwa raisi wa nchi sio kwamba wewe utakula raha tu ya madaraka pia kuna changamoto zake ambazo utakuna nazo..
Kwaiyo nakushauri ndugu yangu kama ulilima kiazi kikakupa hasara basi jifunze ni wapi ulipokosea urekebishe
 
Kilimo hicho kinalimiwa maeneo gani
 
Kk kitu cha kwanza kabla ujaanza kufungua biashara wala ofis yyt jiulize kitu gani unakipenda na unaweza kukifanya kwa moyo wote
 
Nina mashaka na umri wako mkuu,samahani lakini.....50 mil nyumba na coaster juu....
Inawezekana Mil 30 Nyumba ....mil 20 unanunua daladala second hand...mlangoni unakomaa mwenyewe mpaka hela irudi.
 
Reactions: MC7
wekeza kwenye kuku mkuu kienyej na nguruwe tena inlarge scale ndan ya mwaka wew ni kwere
 
Reactions: MC7
Mkuu mahesabu ni matamu ila ukiingia shamba ndo utauona uhalisia
 
Mmmmh hii biashara ni ngumu saan kuifanya mtu..nmeifanya mwaka wa 2 sas ila inachangamoto nyingi Kam kweli ukiwa na roho ya ubinadamu na huruma uku kugum saan hasa kwa hali ya sas,apa nafklia kuachana nayo
 
Mmmmh hii biashara ni ngumu saan kuifanya mtu..nmeifanya mwaka wa 2 sas ila inachangamoto nyingi Kam kweli ukiwa na roho ya ubinadamu na huruma uku kugum saan hasa kwa hali ya sas,apa nafklia kuachana nayo
Ugumu wake nini mkuu!??
Na unafanyia kilimo wap!??
 
Mmmmh hii biashara ni ngumu saan kuifanya mtu..nmeifanya mwaka wa 2 sas ila inachangamoto nyingi Kam kweli ukiwa na roho ya ubinadamu na huruma uku kugum saan hasa kwa hali ya sas,apa nafklia kuachana nayo
Changamoto zisingekuwepo kila mtu angelima , tupo dunian kwa ajiri ya kuzikabiri changamoto na kukata tamaa sio busara
Hata shetani ana changamoto zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…