Nimepata mimba kutokea JF Doctor

SUZANE

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
740
Reaction score
500
Nawasalimuni nyote...


Niwakati mwingine tena napenda kuwashukuru wana JF wote mlio changia ule uzi wng "Je namna hii naweza kupata mimba?"

kwa kweli nilikua naumia kwakua nilikua natafuta mtoto kwa siku nyingi bila mafanikio.

Baada tu yakuchukua uamuzi kuwashirikisha nilipata faraja kuu sana..

Madaktari walinishauri nile nn, nilale syle gn, nifanye wkt gn, wapo washauri na marafiki zng humu pia mlinishauri mambo ya rohoni zaidi na kunitia moyo. Hakika sikuacha ushauri ambao niliona unanifaa.

Leo ninakila sababu kuwashukuru kwa kua natarajia kuitwa mama mwaka huu!!!

Asante sana, Karucee, Smile, Sunshine, MziziMkavu, UNDENIABLE, asakuta same, Fadhili Paulo, bkubwa

Nawengine wengi ambao cjawataja kwa majina

Hakika mmeiondoa aibu yng,

Namshukuru Mungu kwa sbb ya kila mmoja.



Mbarikiwe, nawapenda sana.
 
Last edited by a moderator:
Hongera na zingatia maelezo ya kliniki kwa ajili ya afya yako na mtoto...
 
my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!
 
hongera sana
woooooo jamani so.happy for u mwiteli-didy akijaila usikubali jf dkt aileeerr uwiiiiiiwachaga wanasema ngefilaaa uwinyiiyaani nitapiga ukunga harakaaaaa
 

Siku nyingine uwe unaanza kumshukuru Mungu kabla ya binadamu. Manake unaweza kufurahia ujauzito kumbe ndo tiketi yako ya majuto au kifo.

Pili kutopata ujauzito sio aibu mali ni mipango ya Mungu. Futa kauli ya kufutiwa aibu wakati hata bado hujajifungua.

Tatu kupata mimba na kuzaa sio kazi, kazi ni kulea. Jiandae na malezi bora kwa mwanao, Mungu akiamua uzae.

Mwisho nakutakia heri, Mungu akuongoze katika njia zako.

Wasalaam

ODM
 
Last edited by a moderator:
my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!

Inshallah zamu yako inakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…