SUZANE
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 740
- 500
Nawasalimuni nyote...
Niwakati mwingine tena napenda kuwashukuru wana JF wote mlio changia ule uzi wng "Je namna hii naweza kupata mimba?"
kwa kweli nilikua naumia kwakua nilikua natafuta mtoto kwa siku nyingi bila mafanikio.
Baada tu yakuchukua uamuzi kuwashirikisha nilipata faraja kuu sana..
Madaktari walinishauri nile nn, nilale syle gn, nifanye wkt gn, wapo washauri na marafiki zng humu pia mlinishauri mambo ya rohoni zaidi na kunitia moyo. Hakika sikuacha ushauri ambao niliona unanifaa.
Leo ninakila sababu kuwashukuru kwa kua natarajia kuitwa mama mwaka huu!!!
Asante sana, Karucee, Smile, Sunshine, MziziMkavu, UNDENIABLE, asakuta same, Fadhili Paulo, bkubwa
Nawengine wengi ambao cjawataja kwa majina
Hakika mmeiondoa aibu yng,
Namshukuru Mungu kwa sbb ya kila mmoja.
Mbarikiwe, nawapenda sana.

Last edited by a moderator: