Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 442
hongera mpenzi usiache kwenda kliniki na ule kwa afya .... ubarikiwe wewe na mwanao ..
Inshallah zamu yako inakuja.
tukumbushe mkao uliokaa hadi kitu ikaji-upload
my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!
Hongera sana dada. Mungu akupe faraja. By the way Mie niko interested na hapo nilipo quote. Unaweza ku-share hapa ushauri uliopewa ili uwasadie wenye shida kama uliyokuwa nayo wakati huo?Madaktari walinishauri nile nn, nilale syle gn,
amina my dear! from your mouth to Allah!
Hongera sana dada. Mungu akupe faraja. By the way Mie niko interested na hapo nilipo quote. Unaweza ku-share hapa ushauri uliopewa ili uwasadie wenye shida kama uliyokuwa nayo wakati huo?
Asante
Mtumainie Mungu, hakika atakujaalia.
Ujauzito miaka hii limekuwa janga la kitaifa. Ndoa nyingi zinayumba sababu ya hili tatizo. Mungu atunusuru.
Siku nyingine uwe unaanza kumshukuru Mungu kabla ya binadamu. Manake unaweza kufurahia ujauzito kumbe ndo tiketi yako ya majuto au kifo.
Pili kutopata ujauzito sio aibu mali ni mipango ya Mungu. Futa kauli ya kufutiwa aibu wakati hata bado hujajifungua.
Tatu kupata mimba na kuzaa sio kazi, kazi ni kulea. Jiandae na malezi bora kwa mwanao, Mungu akiamua uzae.
Mwisho nakutakia heri, Mungu akuongoze katika njia zako.
Wasalaam
ODM
ngoja nikupmamina my dear! from your mouth to Allah!
ngoja nikupm
Ni wewe huyu unaekaa siti ya nyuma au?
ah... imeingia!lakushukuru mungu!