Nimepata mimba kutokea JF Doctor

Nimepata mimba kutokea JF Doctor

my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!

Mtumainie Mungu, hakika atakujaalia.

Ujauzito miaka hii limekuwa janga la kitaifa. Ndoa nyingi zinayumba sababu ya hili tatizo. Mungu atunusuru.
 
Madaktari walinishauri nile nn, nilale syle gn,
Hongera sana dada. Mungu akupe faraja. By the way Mie niko interested na hapo nilipo quote. Unaweza ku-share hapa ushauri uliopewa ili uwasadie wenye shida kama uliyokuwa nayo wakati huo?
Asante
 
Hongera sana dada. Mungu akupe faraja. By the way Mie niko interested na hapo nilipo quote. Unaweza ku-share hapa ushauri uliopewa ili uwasadie wenye shida kama uliyokuwa nayo wakati huo?
Asante

Missionary style ni nzuri. Na pale mnapomaliza bi dada asikurupuke kunyanyuka. Alale hivyo hivyo akiwa amekunja miguu for some time.
Cc nundaz na Lovebird.
 
Last edited by a moderator:
Mtumainie Mungu, hakika atakujaalia.

Ujauzito miaka hii limekuwa janga la kitaifa. Ndoa nyingi zinayumba sababu ya hili tatizo. Mungu atunusuru.

Ni wewe huyu unaekaa siti ya nyuma au?
 
kwani lazima amshukuru Mungu hapa babu ..mi nadhani hapa ni muendelezo wa shukrani zake tu sio kwamba shukrani ni kwa jf tu ..ila kuhusu aibu aliyoisema hata mimi nakusupport ni mipango tu ya Mungu maana aibu zetu na laana Yesu alizibeba pale msalabani sisi tupo huru!
Siku nyingine uwe unaanza kumshukuru Mungu kabla ya binadamu. Manake unaweza kufurahia ujauzito kumbe ndo tiketi yako ya majuto au kifo.

Pili kutopata ujauzito sio aibu mali ni mipango ya Mungu. Futa kauli ya kufutiwa aibu wakati hata bado hujajifungua.

Tatu kupata mimba na kuzaa sio kazi, kazi ni kulea. Jiandae na malezi bora kwa mwanao, Mungu akiamua uzae.

Mwisho nakutakia heri, Mungu akuongoze katika njia zako.

Wasalaam

ODM
 
  • Thanks
Reactions: JRK
Asante sana mama kijacho. Ni wakati umefika sasa kwa wale wote wanaoomba msaada JF wakifanikiwa basi wawe mfano wa SUZANE wafike kutupa feedback. Hakika JF ni mambo yote kisiasa, kiuchumi, kijamii, kiroho na kila kitu!!!!Long Live JF.
 
Mungu atukuzwe kwa hlo. Hongera sana. Jiandae kwa malezi
 
Siku nyingine uwe unaanza kumshukuru Mungu kabla ya binadamu. Manake unaweza kufurahia ujauzito kumbe ndo tiketi yako ya majuto au kifo.

Pili kutopata ujauzito sio aibu mali ni mipango ya Mungu. Futa kauli ya kufutiwa aibu wakati hata bado hujajifungua.

Tatu kupata mimba na kuzaa sio kazi, kazi ni kulea. Jiandae na malezi bora kwa mwanao, Mungu akiamua uzae.

Mwisho nakutakia heri, Mungu akuongoze katika njia zako.

Wasalaam

ODM

Maneno mazito sana haya na yaliyojaa hekima na busara. Well said rafiki, much love
 
Back
Top Bottom