Nimepata mimba kutokea JF Doctor

my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!
Pole mpnz. I hope utapata. napenda tabasamu lako.
 
sawasawa!!!! Na kingine nilishauriwa pia nianze kufikia kilele mimi, then ndio jamaa, nafikiri pia hii ilinisaidia

ehe hv ehee basi ndio maana me nisipokuwa mwangalifu zinanasa kila cku. mh leo nimejua sababu pia. Well noted.
 
Kwani hautumii kinga House Wife?

Kama huna mpango wa kupata mtoto, kwanini uende kavu kavu?

Kwann ubebe mimba ya majuto?

Panga familia, zipo njia nyingi za family planning ikiwemo njia common ya kutumia condom.

ehe hv ehee basi ndio maana me nisipokuwa mwangalifu zinanasa kila cku. mh leo nimejua sababu pia. Well noted.
 
Last edited by a moderator:
Inategemeana na umri uliopo shansarie.. Kama una 21, unazaa chap uelekee wapi?

Kama ni late marriage, sawa!

Hata hao wa 21wengine wanazaa fasta wanamaliza wanaendelea na matunzo angalau mtoto anamaliza shule hujazeeka sasa tunaozaa late unafika 50 mtoto hata form four hajamaliza khaaa
 
Last edited by a moderator:
Kwani hautumii kinga House Wife?

Kama huna mpango wa kupata mtoto, kwanini uende kavu kavu?

Kwann ubebe mimba ya majuto?

Panga familia, zipo njia nyingi za family planning ikiwemo njia common ya kutumia condom.

Hapana si za majuto sema nakuwa sijapanga kwa muda huo ama sijapumzika vya kutosha. Natumia condom but unaweza kuta zimeisha ndani na sidhani km yaweza kuwa sababu ya kunyimana.
Nitakuwa mwangalifu zaidi ama niseme kwa sasa nipo makini kwa kweli.
natumia njia njia ya asili na condom hayo madawa na sindano naogopa kwa kweli.

Thank u 4 ur concern Excel
 
Last edited by a moderator:

ur a bright woman House Wife!!

your husband is lucky to have you!

please dont feel shy to buy a whole box of DUME and put it in your bedroom. its safe, any time you need it, you just turn around and grab one box.

jioni njema mpendwa!
 
Nawe pia.
 
Unajua vitu vya kufanya ili isitoke?

Fidel tangia nimekufaham JF ni kama miaka 6 hivi wakati huo nasoma tu sijajiregister, comments zako siku zote za kitoto nadhani sasahivi umekua, badilika kidogo uwe kama kaka zetu wengine, huu uliompa si ushauri bali hofu
 
Good news dada mzuri, Allah akujalie kizazi chenye heri, watoto wema na wenye kufuata maamrisho ya dini, Kila la kheri

h

Mungu ashukuriwe sana na much big up and respect to all JF doctors na wadau wote waliokusaidia. Nakutakia maisha mema wewe na kizazi chako
 
Fidel tangia nimekufaham JF ni kama miaka 6 hivi wakati huo nasoma tu sijajiregister, comments zako siku zote za kitoto nadhani sasahivi umekua, badilika kidogo uwe kama kaka zetu wengine, huu uliompa si ushauri bali hofu

Nashukuru kwa kunifahamu, lakini swali langu lina mantiki zaidi ya huo unao ita utoto, ukifanya uzembe ikachoropoka uje na I.D ingine kuomba ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…