Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mpnz. I hope utapata. napenda tabasamu lako.my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!
sawasawa!!!! Na kingine nilishauriwa pia nianze kufikia kilele mimi, then ndio jamaa, nafikiri pia hii ilinisaidia
Kuzaa chap chap ndo mpango
ehe hv ehee basi ndio maana me nisipokuwa mwangalifu zinanasa kila cku. mh leo nimejua sababu pia. Well noted.
Inategemeana na umri uliopo shansarie.. Kama una 21, unazaa chap uelekee wapi?
Kama ni late marriage, sawa!
Kwani hautumii kinga House Wife?
Kama huna mpango wa kupata mtoto, kwanini uende kavu kavu?
Kwann ubebe mimba ya majuto?
Panga familia, zipo njia nyingi za family planning ikiwemo njia common ya kutumia condom.
Hapana si za majuto sema nakuwa sijapanga kwa muda huo ama sijapumzika vya kutosha. Natumia condom but unaweza kuta zimeisha ndani na sidhani km yaweza kuwa sababu ya kunyimana.
Nitakuwa mwangalifu zaidi ama niseme kwa sasa nipo makini kwa kweli.
natumia njia njia ya asili na condom hayo madawa na sindano naogopa kwa kweli.
Thank u 4 ur concern Excel
ur a bright woman House Wife!!
your husband is lucky to have you!
please dont feel shy to buy a whole box of DUME and put it in your bedroom. its safe, any time you need it, you just turn around and grab one box.
jioni njema mpendwa!
Unajua vitu vya kufanya ili isitoke?
Nawasalimuni nyote...
Niwakati mwingine tena napenda kuwashukuru wana JF wote mlio changia ule uzi wng "Je namna hii naweza kupata mimba?"
kwa kweli nilikua naumia kwakua nilikua natafuta mtoto kwa siku nyingi bila mafanikio.
Baada tu yakuchukua uamuzi kuwashirikisha nilipata faraja kuu sana..
Madaktari walinishauri nile nn, nilale syle gn, nifanye wkt gn, wapo washauri na marafiki zng humu pia mlinishauri mambo ya rohoni zaidi na kunitia moyo. Hakika sikuacha ushauri ambao niliona unanifaa.
Leo ninakila sababu kuwashukuru kwa kua natarajia kuitwa mama mwaka huu!!!
Asante sana, Karucee, Smile, Sunshine, MziziMkavu, UNDENIABLE, asakuta same, Fadhili Paulo, bkubwa
Nawengine wengi ambao cjawataja kwa majina
Hakika mmeiondoa aibu yng,
Namshukuru Mungu kwa sbb ya kila mmoja.
Mbarikiwe, nawapenda sana.
hNawasalimuni nyote...

Fidel tangia nimekufaham JF ni kama miaka 6 hivi wakati huo nasoma tu sijajiregister, comments zako siku zote za kitoto nadhani sasahivi umekua, badilika kidogo uwe kama kaka zetu wengine, huu uliompa si ushauri bali hofu