Nimepata mimba kutokea JF Doctor

Nimepata mimba kutokea JF Doctor

my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!

kesho nikipata nafasi tutaongea kupitia PM............
 
Nipo njee ya mada kidogo. Maajabu ya mimba bhana. Uwe na kibamia au mshedede wote mnakuwa na uwezo sawa wa kuzalisha. Nashangaa sana kusoma uzi za kuzungumzia maumbile.
 
Missionary style ni nzuri. Na pale mnapomaliza bi dada asikurupuke kunyanyuka. Alale hivyo hivyo akiwa amekunja miguu for some time.
Cc nundaz na Lovebird.

sawasawa!!!! Na kingine nilishauriwa pia nianze kufikia kilele mimi, then ndio jamaa, nafikiri pia hii ilinisaidia
 
Last edited by a moderator:
SUZANE umepata mimba? hongera sana bibie!

Mpe mkono jamaa yetu aliyefanikisha zoezi Zima.!!!
 
Last edited by a moderator:
"Moyo usio na shukrani hunyausha Baraka zote"
sifa ,heshma ,utukufu tumrudishieMungu wetu kupitia watu wake wakakushauri na hatimaye ukapata sawasawa na hitaji lako.
 
hamna bana!!! kwanini asitumie family planning?

au SUZANE umri umeenda sana?

umri umekimbia si mchezo, ningetakiwa kwa ss nimeshamaliza kuzaa
 
Last edited by a moderator:
"Moyo usio na shukrani hunyausha Baraka zote"
sifa ,heshma ,utukufu tumrudishieMungu wetu kupitia watu wake wakakushauri na hatimaye ukapata sawasawa na hitaji lako.

For sure!!! Nalihimidiwe jina lake....
 
nimetabasam!!!!

hahahahaaa!!! unajua SUZANE lile zoezi si mchezo!

hataukiwa kimbau mbau lazima jasho likutiririke!

hongera sana dada, nakushai utumie family planning, una zoez gumu sana la kuwapa watoto wako basic needs especially elimu!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa!!! unajua SUZANE lile zoezi si mchezo!

hataukiwa kimbau mbau lazima jasho likutiririke!

hongera sana dada, nakushai utumie family planning, una zoez gumu sana la kuwapa watoto wako basic needs especially elimu!!

kweli kabisa... tuombeane uzima tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom