Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Naomba kuja kwenu waungwana na wananzengo kutokana na kugagasika na tàarifa ya kupokea mikoba. Nimepata mke wa tano sasa lakini naambiwa siwezi kumuoa hadi akabidhiwe mikoba ya uganga.
1. Naomba kujua mikoba ya uganga ni nini?
2. Mikoba ya uganga inahusisha vitu gani?
3. Mikoba ya uganga inakuwa katika muonekano gani?
4. Je mikoba ya uganga inaweza kukabidhiwa kutoka kwa jinsia moja kwenda kwa nyingine?
5. Ni yapi masharti ya kuishi na mwanamke aliyepokea mikoba ya uganga?
6. Je kuna mafanikio yoyote ya kiuchumi naweza kuyapata kwa kuoa mwanamke mwenye mikoba?
7. Je kuna utofauti wa mikoba ya uganga na kichawi?
8. Kwanini nimeambiwa nisiendelee na hatua za kuchukua jiko hadi apewe mikoba ya uganga?
9. Ni zipi dalili za mwanamke anayepaswa kupokea mikoba?
Msaada wenu bila kumsahau Mshana Jr