Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Natumai mko salama,
Wiki iliyopita nilibahatika kukutana na binti ambaye kutokana na maono ya pendo langu, nahisi nimepata wa kuendana nae.
Siku ya Jumapili jioni nilimuomba tukutane somewhere. Tulijuliana hali, nikatoa kiasi cha Tsh.70 kwa ajili ya matumizi binafsi ya siku mbili tatu pamoja na kubadili kioo cha simu yake. Cha ajabu binti aliikataa pesa, aliikataa katu katu, nilijaribu kuisindikiza pesa kwenye kipochi chake lakini aliikataa pia. Alisema hana shida na pesa zangu.
Hivi huyu binti ana upendo wa dhati na mimi kweli? Au nifanye mambo mengine niache kupoteza muda, nisije funga wiki mbili nikaomba mbususu nikaishiwa kuzungushwa! Maake kuna mwanamke niliwahi kumsikia akisema "Siwezi chukua pesa ya mwanaume ambaye sijavutiwa naye, hata akiniomba tendo la ndoa siwezi mkubalia"