Nimepata mpenzi mpya, nampatia pesa anaikataa, hivi ananipenda kweli?

Nimepata mpenzi mpya, nampatia pesa anaikataa, hivi ananipenda kweli?

Natumai mko salama,
Wiki iliyopita nilibahatika kukutana na binti ambaye kutokana na maono ya pendo langu, nahisi nimepata wa kuendana nae.

Siku ya Jumapili jioni nilimuomba tukutane somewhere. Tulijuliana hali, nikatoa kiasi cha Tsh.70 kwa ajili ya matumizi binafsi ya siku mbili tatu pamoja na kubadili kioo cha simu yake. Cha ajabu binti aliikataa pesa, aliikataa katu katu, nilijaribu kuisindikiza pesa kwenye kipochi chake lakini aliikataa pia. Alisema hana shida na pesa zangu.

Hivi huyu binti ana upendo wa dhati na mimi kweli? Au nifanye mambo mengine niache kupoteza muda, nisije funga wiki mbili nikaomba mbususu nikaishiwa kuzungushwa! Maake kuna mwanamke niliwahi kumsikia akisema "Siwezi chukua pesa ya mwanaume ambaye sijavutiwa naye, hata akiniomba tendo la ndoa siwezi mkubalia"
Mkuu demu kasema hajavutiwa nawe so hanunuliki huyo, tafta kurubembe moja la jf ukajipooze ugumu
 
Ukipata anayependa Hela ni shida, ukipata asiyependa Hela ni shida pia.
 
Kuhonga Kuna Raha yake, hasa mzigo Ukiwa wa kutosha yaani umtimizie Binti wa watu mahitaji yake.

Lakini hapohapo wanaume tunahitaji mwanamke mwelewa, nikisema sina, aelewe, siyo kupunguza upendo
 
dah! kuna ambush inatengenezwa hapo sipati picha,embu tuma namba yake nimuulize nini tatizo
 
Mkuu ngoja ncheke kwanza [emoji23][emoji23]
Mkuu unajua hii approach ya Hela tunatumia Kwa sabab ndo tulipofkia ila in fact hii sio njia nzuri Kwa maana kutoa Hela kama zipo sio case ntakupa Hela ntakukula nipite hivi,,

Kwa upande wa pili mabint wanaogopa kwamb anaweza akakupenda mwamba akukupa tunda ukala af ukapita hv[emoji23],,sa si bora akupige Hela mapema hata ukija kupita hv angalau ni 50/50 ingawa infact LOVE is priceless

Msimamo Wang sasa,,mkuu mi dem akiwa na tabia tusizo zizoea Kwa mfano kukata Hela, kunizungusha mbususu na vitu kama hivohuwa anavuta sana hisia zangu sana na kutamani kumpatia zaidi ya hivyo na huruma huwa ina nijaa hata kama nilipanga nipite tu huwa naweka Kambi au nimuacha kabisa akutane na saint mwenzake[emoji1787]

Note:Unaweza zungushwa wewe mbususu afu Kuna mshkaji analazishwa akaile,, kwahiyo angalia unanyimwaje
 
Back
Top Bottom