Nimepata mshutko baada ya kuambiwa ni nywele za maiti

Nimepata mshutko baada ya kuambiwa ni nywele za maiti

Kuna wanaopigwa vipara na nywele zao kuenda kuuzwa lakini pia zipo nywele za maiti zinazouzwa




aisee wahindi wengi(watoto kwa wakubwa) wanapigwa vipara hapa nimeamini hizo nywele si za maiti
 
Mie siamini nywele tunazovaa,huwa zimetoka kichwani mwa mwengine...nadhani huu ni uzushi kuwadiscourage watu wasivae mawigi.....tupeni source ya hivyo viwanda vinavyonunua nywele za watu...mnh:dance:
 
mie nataka kuuza hichi kipili pili changu!,:biggrin1::biggrin1:
 
[
WE PAULINE UNAISHI DUNIA YA WAPI? KUNA NYWELE SIKU HIZI NI ZA BINADAMU KABISA ZINAITWA HUMAN HAIR WANASHAVE NA KUZIUZA KWA HAIR DEALERS MOSTLY ZINATOKA INDIA, CHINA, BRAZIL NA ZINATENGENEZWA KWA STYLE YA MAWIG, LACE.

LAKINI ZIPO PIA ZINATOKA KWA DEAD PEOPLE, NA KUMETOKEA HAPA KARIBUNI KUNA WANAWAKE WENYE NYWELE NZURI WALIUAWA NA GANGS.




QUOTE=pauline;2047065]Mie siamini nywele tunazovaa,huwa zimetoka kichwani mwa mwengine...nadhani huu ni uzushi kuwadiscourage watu wasivae mawigi.....tupeni source ya hivyo viwanda vinavyonunua nywele za watu...mnh:dance:[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom