Nimepata msiba wa baba yangu mdogo...

Nimepata msiba wa baba yangu mdogo...

Pole sana ndugu,yeye alitoa na ametwaa jina lake litukuzwe ameen,mwenyez mungu akutie nguvu kwenye kipind hiki kigumu.
 
Pole. Mungu Aliye hai akudhihirishie pendo lake kwako wakati huu wa majonzi.
 
Pole sana tete, mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.
 
ndugu yangu kazi ya Mungu haina makosa,be strong katika kipindi hiki na usilaumu maana yote ni matakwa yake.RIP mzee wako.
 
Back
Top Bottom