Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

Pole sana mwana Jamii mwenzetu
Mungu akutie ngumu katika wakati huu mgumu
Pia mshukuru Mungu kwa muda aliokupa ukakaa na mama yako
Bwana ametoa na ndio emetwaa Jina lake libarikiwe
RIP MAMA
 
Roho ya marehemu mama yetu ipate rehema kwa Mungu
Apumzike kwa amani.
Amina.

Pole sana kiongozi. Pamoja Daima.
 
Pole sana,lkn kazi ya Mola haina makosaYeye katangulia na sisi tutamfuata some day.May she rest in eternal peace!
 
Pole sana, kazi ya Mungu haina makosa, Mungu akupe nguvu na aiweke roho ya marehemu peponi Amina
 
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556
Pole sana na Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana ndugu yetu. Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu.
 
Inna Lilah Wa inna Ilah raj;uun..... Inshaalah miaz Mungu akutie nguvu safiri salama na Maziko mema Rafiki.
 
Pole sana ndugu kwa msiba mkubwa. Mungu awape familia yote nguvu na faraja na uvumilivu
 
Mungu akutie nguvu na faraja ya kweli katika kipindi hiki cha huzuni kwako. Pole sana na usafiri salama
 
Pole sana ndugu tuko pamoja katika sala, Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki.Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Mama yetu AMEN....
 
Pole sana kwa msiba wa mama, ingawaje kimwili hatupo naye, daima atakuwa nasi kiroho kupitia sala zetu.,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

....and this is for your mama.

May the roads rise to meet you,
May the wind be always at your back,
May the sun shine warm upon your face,
The rain fall soft upon your fields
And, until we meet again,
May God hold you in the hollow of his hand.
 
Pole sana ndg yetu tuko pamoja kisala kuwa na nguvu na ukumbuke Mungu anakupenda sana mpaka na umri huu umekuwa na mama yako mzazi.Kuna watu wanazaliwa na kupoteza mzazi hapo hapo.
 
Pole sana Ndugu. Jipe moyo katika kipindi hiki kigumu ukimuomba sana MUNGU akupe faraja katika Roho Mtakatifu. Amen
 
Back
Top Bottom