Pole sana mwana Jamii mwenzetu
Mungu akutie ngumu katika wakati huu mgumu
Pia mshukuru Mungu kwa muda aliokupa ukakaa na mama yako
Bwana ametoa na ndio emetwaa Jina lake libarikiwe
RIP MAMA
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556
Pole sana kwa msiba wa mama, ingawaje kimwili hatupo naye, daima atakuwa nasi kiroho kupitia sala zetu.,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
....and this is for your mama.
May the roads rise to meet you,
May the wind be always at your back,
May the sun shine warm upon your face,
The rain fall soft upon your fields
And, until we meet again,
May God hold you in the hollow of his hand.
Pole sana ndg yetu tuko pamoja kisala kuwa na nguvu na ukumbuke Mungu anakupenda sana mpaka na umri huu umekuwa na mama yako mzazi.Kuna watu wanazaliwa na kupoteza mzazi hapo hapo.