Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 51 Nov 21, 2009 #101 Pole sana mkuu, mwenyezi mungu atakupa wepesi utaona mambo yanakwenda kama ulivyopanga
Shaycas JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 906 Reaction score 112 Nov 21, 2009 #102 Pole sana kaka. Ingawa unaweza kukusimama lakini nguzo imara ktk maisha yako imeanguka.MUOMBE MUNGU AZIDI KUKUIMARISHA KIMWILI NA KIROHO ili usitetereke ktk maisha yako hapa Duniani. Mungu ailaze ROHO YAKE MAREHEMU MILELE.
Pole sana kaka. Ingawa unaweza kukusimama lakini nguzo imara ktk maisha yako imeanguka.MUOMBE MUNGU AZIDI KUKUIMARISHA KIMWILI NA KIROHO ili usitetereke ktk maisha yako hapa Duniani. Mungu ailaze ROHO YAKE MAREHEMU MILELE.
Kevo JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,333 Reaction score 54 Nov 21, 2009 #103 Am touched. Pole sana.