Nimepata Msiba WanaJF

Nimepata Msiba WanaJF

Pole sana mkuu, mwenyezi mungu atakupa wepesi utaona mambo yanakwenda kama ulivyopanga
 
Pole sana kaka.
Ingawa unaweza kukusimama lakini nguzo imara ktk maisha yako imeanguka.MUOMBE MUNGU AZIDI KUKUIMARISHA KIMWILI NA KIROHO ili usitetereke ktk maisha yako hapa Duniani.
Mungu ailaze ROHO YAKE MAREHEMU MILELE.
 
Back
Top Bottom