Nimepata msichana mpya,ni mzuri lakini ana tabia kama za Kasinde (kasie)

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Habari zenu wadau? mimi mzima
Nimebahatika kupata msichana mkali ambaye hata mimi kuna wakati naona alinionea huruma tu kuwa na mimi.
Huyu msichana ana tabia moja ya ajabu ambayo hata mimi napata wakati mgumu kuielewa,yaani ana tabia za kiume balaa kuna wakati na mfananisha na Kasinde (no hard feelings), kuanzia kuongea,kutembea,mavazi,aina ya muziki anaosikiliza,marafiki,maongezi na kila kitu.
Lakini juzi ndipo nilipochoka baada ya kumuuliza yuko wapi akanijibu yuko Mwenge Meridian,ameenda kubeti mechi ya Arsenal na Tottenham
 
Last edited by a moderator:
Amen!!
Rudi kwa mschana wako wa zamani.
 
kwani betting ni kwa ajili ya wanaume tu ..........
 
Tabia za kiume ndio zipi hizo MSAGA SUMU, je unaweza kuzianisha?
 
Last edited by a moderator:
huyo ndo mtajenga nae familia coz anajua maisha.
 
Mianaume mingine mijingaaaa. Sasa ajabu kwenda kubet au ipi hasa? Unaonekana umbo la kisasa lk n akili ya kizamani sana ys kizee hasa. Polee
 
Habari zenu wadau? mimi mzima
Nimebahatika kupata msichana mkali ambaye hata mimi kuna wakati naona alinionea huruma tu kuwa na mimi.
Huyu msichana ana tabia moja ya ajabu ambayo hata mimi napata wakati mgumu kuielewa,yaani ana tabia za kiume balaa kuna wakati na mfananisha na Kasinde (no hard feelings), kuanzia kuongea,kutembea,mavazi,aina ya muziki anaosikiliza,marafiki,maongezi na kila kitu.
Lakini juzi ndipo nilipochoka baada ya kumuuliza yuko wapi akanijibu yuko Mwenge Meridian,ameenda kubeti mechi ya Arsenal na Tottenham
Duuh hii mbona ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom