Nimepata mtaji.!

Ni ujinga kusema umefanikiwa kupata 8000 tokea January mpaka sasa.

Ni ujinga mkubwa sana.
Kumbuka mkuu anatumia smartphone, itakuwaje kama anamaanisha 8 mil. Na karanga anazomaanisha ni kama zile Diamond karanga au zile za mayai kisha anakodi fremu anakuwa anauza pakti 500 na 1000?

Binafsi nahisi kuna kodi zimefichwa hapo zinahitaji utulivu kuzifungua
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…