kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
- Thread starter
- #21
Nimeshangaa sanaKwani mnafahamiana nae mkuu? mbona umemhukumu sana huyo kijana wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sanaKwani mnafahamiana nae mkuu? mbona umemhukumu sana huyo kijana wa watu
Mbia mbiri mia mbiri zangu zinanitoshaHunijui sikujui
Nipe namba DM nikuongeze elfu kumi
Kama umewaza hivyo sawaTangu January mpaka leo ni siku 120+ so kama ni kila baada ya 2dys means ni siku 60 60×500=30k
Sema najua gia uliyo kuja nayo utawapata wengi mkuu kongole
Hujanielewa. Nataka baadaye niwe muuzaji mkubwa wa karanga.Wacha ujinga wewe. Na mnaotetea achani kabisa ujinga huu wa kimaskini.
Yani hata mtoto wangu wa chekechea hawezi kufanya huu ujinga.
Ni ujinga kusema umefanikiwa kupata 8000 tokea January mpaka sasa.Hujanielewa. Nataka baadaye niwe muuzaji mkubwa wa karanga.
Duuh sasa ujinga wake upo mkuu!!? Mjinga anarekebishika ebu muoneshe ulipo ujinga wake ajifunze kwa wewe mwerevuNi ujinga kusema umefanikiwa kupata 8000 tokea January mpaka sasa.
Ni ujinga mkubwa sana.
Usiseme hivyo mkuu.Ni ujinga kusema umefanikiwa kupata 8000 tokea January mpaka sasa.
Ni ujinga mkubwa sana.
Sijahukumu mtu bali nimesema ya moyoniKwani mnafahamiana nae mkuu? mbona umemhukumu sana huyo kijana wa watu
Maisha, nime save sanaaaa na dharura zilikuwa nyingi mno.Ni ujinga kusema umefanikiwa kupata 8000 tokea January mpaka sasa.
Ni ujinga mkubwa sana.
Kosa langu ripo wapi?Duuh sasa ujinga wake upo mkuu!!? Mjinga anarekebishika ebu muoneshe ulipo ujinga wake ajifunze kwa wewe mwerevu
Dharura zilikuwa nyingi, ningeweza ku save kiasi kikubwa tuDuuh sasa ujinga wake upo mkuu!!? Mjinga anarekebishika ebu muoneshe ulipo ujinga wake ajifunze kwa wewe mwerevu
[emoji24][emoji24]Usiseme hivyo mkuu.
Hatufanani uwezo wa kufikiri na kujua namna ya kutatua changamoto haraka au kwa njia gani.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Atakuwa ameruka sifuri mbili au angeandika 8000kYaani watu hawapo seliasi kwa kweli
Mda wote toka mwezi wa 1 mpaka huu online JF kila siku utamwona alafu aje aseme amepata 8000 haingii hakilini ni ulimbukeni
wapo watakao mtetea ila piga hizo vocha tu fikirie ni jero mara miezi hii ni upumbavu mtupu
sawa mtakatifu.Sijahukumu mtu bali nimesema ya moyoni
Ni 8kAtakuwa ameruka sifuri mbili au angeandika 8000k
8,000 Mara 1000 ni sawa na milioni 8.Atakuwa ameruka sifuri mbili au angeandika 8000k
Kumbuka mkuu anatumia smartphone, itakuwaje kama anamaanisha 8 mil. Na karanga anazomaanisha ni kama zile Diamond karanga au zile za mayai kisha anakodi fremu anakuwa anauza pakti 500 na 1000?Ni ujinga kusema umefanikiwa kupata 8000 tokea January mpaka sasa.
Ni ujinga mkubwa sana.
DuhKumbuka mkuu anatumia smartphone, itakuwaje kama anamaanisha 8 mil. Na karanga anazomaanisha ni kama zile Diamond karanga au zile za mayai kisha anakodi fremu anakuwa anauza pakti 500 na 1000?
Binafsi nahisi kuna kodi zimefichwa hapo zinahitaji utulivu kuzifungua