dimple
Senior Member
- Dec 6, 2016
- 103
- 134
Mmhhh hiyo elf 8 toka jan wakat bando la jamii forum unalo?namashaka na watu wanaokuzunguka badirisha marafiki mkuu hawakufai haiwèzekan imechukua miezi 5 kupata elf 8 wakati umezungukwa na watu kibao
Hali gani?hakika namshukuru Mungu sana, nimeangaika muda mrefu kutafuta mtaji wa kuanza biashara yangu ambayo nimekuwa nikii dream,naamini si kwa nguvu zangu.
Nimefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi 8000 pesa taslimu toka mwezi wa 1 mwaka huu. Na Jumatatu ijayo naanza biashara yangu, nitatumia miguu kutembeza bidhaa zangu(karanga) kabla ya kununua baiskeli.
Nimejifunza investment kutoka humu JF. Kongore kwenu.