Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

Passports mchawi ni documents tu, ukiwa nazo unaipata within 2-3 weeks bila kutoa hata mia
Sioni haja ya wewe kupigiwa simu au kufuatwa wasap
Sio week ni sku 2 au tatu unaipata mm niliipata kwa muda wa sku 3
 
Me kupata passport imekua changamoto kidogo coz cheti changu cha kuzaliwa kilikosewa tarehe ya kuzaliwa
Nkaenda Rita kubadili cheti cha kuzaliwa nkafanikiwa nkapeleka Kule uhamiaji lakini cha ajabu Passport ikatoka ikiwa imeandikwa Ile tarehe ya mwanzo ya kuzaliwa yenye makosa (cheti cha mwanzo)
Nimeirudisha ile passport uhamiaji ili waanze upya mchakato

Wameniambia kuwa passport kukosewa tarehe ya kuzaliwa sio big issue lakini mimi sijaridhika kabisa nimekubali kuingia hasara ya kujaza form upya
 
Back
Top Bottom