Nimepata pesa ya kuhonga

Nimepata pesa ya kuhonga

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Ukibet kwa Akili pesa ipo tatizo woga mbaya sana sasa hapa ningeweka 50,000 ningekamua 900,000 ila ukiliwa sasa unaweza kuonekana chizi ukatembea unaongea peke yako njia mzima....Kubeti ni zaidi ya kazi nani anabisha!.....?
Screenshot_20181101-005548.jpg
Screenshot_20181101-005554.jpg
 
Wanawake tumeumbwa.mateso mbwembwe kama zote kumbe elfu 92😁😁😁 na hapo ukute umepanga kuhonga elfu 20, inauma sana.
 
Usihonge kanunue kitenge kizuri kabisa mtumie mama, atafurahi na atakubariki chenji endelea kubet....utahonga kiasi kidogo utaambulia msonyo wa chini chini
Daaa Aiseee umeona mbali sana kwa kweli
 
Wanawake tumeumbwa.mateso mbwembwe kama zote kumbe elfu 92[emoji16][emoji16][emoji16] na hapo ukute umepanga kuhonga elfu 20, inauma sana.
Wanawake mmeumbwa mateso au wansume ndio tumeumwa mateso
 
Awa jamaa leo wanazingua mshiko bado aujaingizwa mpaka sasa
Screenshot_20181101-095601.jpg
Screenshot_20181101-095604.jpg
 
betting ni noma jamaa,ni sawa na mtu aliye kwenye duara,kuna cku nilikuta msg kwenye cm sikuamin,unaweza kupga hela ila usiwe na mawazo nayo,bet kisha sahau ,nilipanga mkeka nashangaa mkeke wa timu kibao unakubali wa timu chache unakataa na hela ishaingia,ukipga hela nyingi toa sadaka itakusaidia kulinda bahati zako.
 
Profesa Agnes uliyehudhuria kongamano la jana pale UDSM unamsikia huyu dogo??? ...tehtehtehtehtehtehteh
 
Profesa Agnes uliyehudhuria kongamano la jana pale UDSM unamsikia huyu dogo??? ...tehtehtehtehtehtehteh
sawa bwana mkubwa,waambie pia wawape fomula za maisha kwenye hayo makongamano
 
betting ni noma jamaa,ni sawa na mtu aliye kwenye duara,kuna cku nilikuta msg kwenye cm sikuamin,unaweza kupga hela ila usiwe na mawazo nayo,bet kisha sahau ,nilipanga mkeka nashangaa mkeke wa timu kibao unakubali wa timu chache unakataa na hela ishaingia,ukipga hela nyingi toa sadaka itakusaidia kulinda bahati zako.
Ulipiga ngapi aisee?
 
GEORGIA FIRST LEAGUE
Shevardeni - Dinamo Batumi
Tip 2 DNB (1.43)

SAUDI ARABIA PROFESSIONAL LEAGUE
Al Hilal - Al Ettifaq
Tip 1(1.45)

SLOVAKIA POHAR
Zilina - Sered
Tip 1(1.46)

ENGLAND FOOTBALL LEAGUE TROPHY
Barnsley - Everton U21
Tip 1(1.45) atakayefuata Uzi huu, kesho anitumie miatatu tu, ili iwe sadaka yake.
 
Back
Top Bottom