Nimepata pigo la love

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa Kaka
 
ukimpata utulie basi dah
 
mi nipo tayar ni-pm
 
Siku zote unapo hitaji mahusiano ya kudumu kwanza mtangulize mungu pia sema na moyo wako kuwa unahitaji mapenzi ya kweli na usijifananishe uzuri wako na kuwa na mwanaume mwenyekipato angali hana mapenzi ya kweli kwako mkubali yule unaeona anastahili kuwa mume sio maslahi mbele. Mwanaume bora ni yule anaekufanya uwe na furaha kila wakati na ni mkweli kwako usiangalie pesa wala ujana wa kwenda na wakati
 
Ebu wawekee picha kwanza waone huo uzuri ulionao mkuu
 
ahaha..yani hauna imani na mwanaume yeyote alafu unatafuta ndoa?
 
Una miaka 22 sasa na huja date na mwanaume miaka miwili sasa. So kwa maneno mengine mara ya mwisho kuwa ktk mahusiano ulikuwa na miaka 20. Unadai umeumizwa mara kibao kwenye mahusiano. Swali langu, 'ni lini ulianza mahusiano?!!
Kuna uwezekano mkubwa ulianza huu mchezo ukiwa bado mdogo hujakomaa kiakili vizuri and people took advantage of your foolish age.
 
Kama miaka ishilini tu kashachezewa na wanaume kibao it means kalikuwa ni kamalaya tu.

Miaka ishilini tu wanaume kibao[emoji23][emoji23][emoji23]

Tufanye wangap, inamaana km ni wachache ni labda 30 na kitu.
Mh we nouma unastahil kunyanyaswa kingono. It was your right place to be
 

weka picha tutoe valuation report
 
[emoji121]
MKUU,

ACHA KUNIHARIBIA MIPANGO,

TULIA WATU TUBEBE MAKINIKIA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…