Nimepata pigo la love

Nimepata pigo la love

Miaka22 ndo unakata tamaa unakuja kutafuta awa matapeli wa jf? Mmh kila la heri ila ungevumilia wenzio tumeolewa na miaka 30 na nlikuwa sion shida kusubiri muda ufike mungu anipe wa kunipa heshima na mimi
Thanks dadaa
 
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
Namashaka na umri wako hizo 22 umerudisha nyuma,
 
Mwaka wa Pili?

22-2= 20

Waliokutesa ni kwakuwa ulikuwa hujakuwa Saivi tafuta utampatta
 
Pole kwa maumivu

Ila kumbuka kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

Muda wako ukifika utapata aloe sahihi
 
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
Me nna story km yako ila version ya kiume..
Mapenzi nyoso[emoji21]
Nko single sijui hata mwaka wa ngapi huu
 
Tamaa zenu ndo zinazo waponza. Unataka kudandia mwanaume mwenye tayari ana maisha yake mazuri unasahau kuwa "hakuna mwanaume aliye endelea /kuwa na maisha mazuri akakosa mwanamke nyuma yake" matokeo yake anakukula akikuchoka anarudi to his origin.

Note that "nje tunafuata ngono tu, mipango ya maisha tunapanga na wake zetu chumbani"
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
Una miaka 22 unaona umechelewa balaa ina maana mapenzi uliyaanza shule ya msingi au sekondari.
Umri wako bado ni wa kuwa mwanafunzi tu. Wewe bado kulaumu angalau 25.
 
miaka 22 too young tafta hela embu kua bosslady jipende kwanza mwanaume atakuja
 
22 ushaumizwa mara kibao? Jikague.
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
 
Ukiitafuta ndoa kwa lazima hivyo ndo mwisho utaishia kuchezewa kila siku, kumbuka kila kitu hutokea kwa wakati wake alivyopanga Mungu na si kwasababu tunataka, umri wako bado mdogo sana so tulia itakapofika wakati utampata ambae ni wako mtafunga ndoa, n b kama huna shughuli ya kufanya ungejikita zaidi kwenye kutafuta cha kufanya ili hata atakapopatikana muoaji tayari na wewe umejijenga maana wanaume wengi pia hawapendi magoli kipa na mwanaume anapokukuta una kipato chako pia inakuongezea thamani!!!!
 
Back
Top Bottom